Native Bible

Psalms 105:2 · Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version 2015

Mwimbieni yeye, mwimbieni yeye sifa, waambieni matendo yake yote ya ajabu.

Psalms 105:2 in English

Psalms 105:2 · Berean Standard Bible

Sing to Him, sing praises to Him; tell of all His wonders.

Context

1Mshukuruni Bwana, liitieni jina lake, wajulisheni mataifa yale aliyoyatenda. 2Mwimbieni yeye, mwimbieni yeye sifa, waambieni matendo yake yote ya ajabu. 3Lishangilieni jina lake takatifu, mioyo ya wale wamtafutao Bwana na ifurahi. 4Mtafuteni Bwana na nguvu zake, utafuteni uso wake siku zote.

Swahili text and audio: Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version™, made available under an open license by Biblica, Inc.