Native Bible

Psalms 105:1 · Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version 2015

Mshukuruni Bwana, liitieni jina lake, wajulisheni mataifa yale aliyoyatenda.

Psalms 105:1 in English

Psalms 105:1 · Berean Standard Bible

Give thanks to the LORD, call upon His name; make known His deeds among the nations.

Context

1Mshukuruni Bwana, liitieni jina lake, wajulisheni mataifa yale aliyoyatenda. 2Mwimbieni yeye, mwimbieni yeye sifa, waambieni matendo yake yote ya ajabu. 3Lishangilieni jina lake takatifu, mioyo ya wale wamtafutao Bwana na ifurahi.

Swahili text and audio: Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version™, made available under an open license by Biblica, Inc.