Native Bible

Psalms 104:34 · Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version 2015

Kutafakari kwangu na kumpendeze yeye, ninapofurahi katika Bwana.

Psalms 104:34 in English

Psalms 104:34 · Berean Standard Bible

May my meditation be pleasing to Him, for I rejoice in the LORD.

Context

32yeye aitazamaye dunia, nayo ikatetemeka, aigusaye milima, nayo ikatoa moshi. 33Nitamwimbia Bwana maisha yangu yote; nitaimba sifa kwa Mungu wangu muda wote ninaoishi. 34Kutafakari kwangu na kumpendeze yeye, ninapofurahi katika Bwana. 35Lakini wenye dhambi na watoweke katika dunia na waovu wasiwepo tena. Ee nafsi yangu, msifu Bwana. Msifuni Bwana.*

Swahili text and audio: Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version™, made available under an open license by Biblica, Inc.