Native Bible

Psalms 104:35 · Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version 2015

Lakini wenye dhambi na watoweke katika dunia na waovu wasiwepo tena. Ee nafsi yangu, msifu Bwana. Msifuni Bwana.*

Psalms 104:35 in English

Psalms 104:35 · Berean Standard Bible

May sinners vanish from the earth and the wicked be no more. Bless the LORD, O my soul. Hallelujah!*

Context

33Nitamwimbia Bwana maisha yangu yote; nitaimba sifa kwa Mungu wangu muda wote ninaoishi. 34Kutafakari kwangu na kumpendeze yeye, ninapofurahi katika Bwana. 35Lakini wenye dhambi na watoweke katika dunia na waovu wasiwepo tena. Ee nafsi yangu, msifu Bwana. Msifuni Bwana.*

Swahili text and audio: Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version™, made available under an open license by Biblica, Inc.