Zaburi 104:33
Psalms 104:33 · Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version 2015
Nitamwimbia Bwana maisha yangu yote; nitaimba sifa kwa Mungu wangu muda wote ninaoishi.
Psalms 104:33 in English
Psalms 104:33 · Berean Standard Bible
I will sing to the LORD all my life; I will sing praise to my God while I have my being.
Context
31Utukufu wa Bwana na udumu milele,
Bwana na azifurahie kazi zake: 32yeye aitazamaye dunia, nayo ikatetemeka,
aigusaye milima, nayo ikatoa moshi. 33Nitamwimbia Bwana maisha yangu yote;
nitaimba sifa kwa Mungu wangu muda wote ninaoishi. 34Kutafakari kwangu na kumpendeze yeye,
ninapofurahi katika Bwana. 35Lakini wenye dhambi na watoweke katika dunia
na waovu wasiwepo tena.
Ee nafsi yangu, msifu Bwana.
Msifuni Bwana.*
Swahili text and audio: Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version™, made available under an open license by Biblica, Inc.