Native Bible

Psalms 104:32 · Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version 2015

yeye aitazamaye dunia, nayo ikatetemeka, aigusaye milima, nayo ikatoa moshi.

Psalms 104:32 in English

Psalms 104:32 · Berean Standard Bible

He looks on the earth, and it trembles; He touches the mountains, and they smolder.

Context

30Unapopeleka Roho wako, wanaumbwa, nawe huufanya upya uso wa dunia. 31Utukufu wa Bwana na udumu milele, Bwana na azifurahie kazi zake: 32yeye aitazamaye dunia, nayo ikatetemeka, aigusaye milima, nayo ikatoa moshi. 33Nitamwimbia Bwana maisha yangu yote; nitaimba sifa kwa Mungu wangu muda wote ninaoishi. 34Kutafakari kwangu na kumpendeze yeye, ninapofurahi katika Bwana.

Swahili text and audio: Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version™, made available under an open license by Biblica, Inc.