Zaburi 104:31
Psalms 104:31 · Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version 2015
Utukufu wa Bwana na udumu milele, Bwana na azifurahie kazi zake:
Psalms 104:31 in English
Psalms 104:31 · Berean Standard Bible
May the glory of the LORD endure forever; may the LORD rejoice in His works.
Context
29Unapoficha uso wako,
wanapata hofu,
unapoondoa pumzi yao,
wanakufa na kurudi mavumbini. 30Unapopeleka Roho wako,
wanaumbwa,
nawe huufanya upya uso wa dunia. 31Utukufu wa Bwana na udumu milele,
Bwana na azifurahie kazi zake: 32yeye aitazamaye dunia, nayo ikatetemeka,
aigusaye milima, nayo ikatoa moshi. 33Nitamwimbia Bwana maisha yangu yote;
nitaimba sifa kwa Mungu wangu muda wote ninaoishi.
Swahili text and audio: Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version™, made available under an open license by Biblica, Inc.