Native Bible

Psalms 104:29 · Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version 2015

Unapoficha uso wako, wanapata hofu, unapoondoa pumzi yao, wanakufa na kurudi mavumbini.

Psalms 104:29 in English

Psalms 104:29 · Berean Standard Bible

When You hide Your face, they are terrified; when You take away their breath, they die and return to dust.

Context

27Hawa wote wanakutazamia wewe, uwape chakula chao kwa wakati wake. 28Wakati unapowapa, wanakikusanya, unapofumbua mkono wako, wao wanashibishwa mema. 29Unapoficha uso wako, wanapata hofu, unapoondoa pumzi yao, wanakufa na kurudi mavumbini. 30Unapopeleka Roho wako, wanaumbwa, nawe huufanya upya uso wa dunia. 31Utukufu wa Bwana na udumu milele, Bwana na azifurahie kazi zake:

Swahili text and audio: Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version™, made available under an open license by Biblica, Inc.