Native Bible

Psalms 104:28 · Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version 2015

Wakati unapowapa, wanakikusanya, unapofumbua mkono wako, wao wanashibishwa mema.

Psalms 104:28 in English

Psalms 104:28 · Berean Standard Bible

When You give it to them, they gather it up; when You open Your hand, they are satisfied with good things.

Context

26Huko meli huenda na kurudi, pia Lewiathani,* uliyemuumba acheze ndani yake. 27Hawa wote wanakutazamia wewe, uwape chakula chao kwa wakati wake. 28Wakati unapowapa, wanakikusanya, unapofumbua mkono wako, wao wanashibishwa mema. 29Unapoficha uso wako, wanapata hofu, unapoondoa pumzi yao, wanakufa na kurudi mavumbini. 30Unapopeleka Roho wako, wanaumbwa, nawe huufanya upya uso wa dunia.

Swahili text and audio: Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version™, made available under an open license by Biblica, Inc.