Native Bible

Psalms 10:9 · Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version 2015

Huvizia kama simba aliye mawindoni; huvizia kumkamata mnyonge, huwakamata wanyonge na kuwaburuza katika wavu wake.

Psalms 10:9 in English

Psalms 10:9 · Berean Standard Bible

He lies in wait like a lion in a thicket; he lurks to seize the oppressed; he catches the lowly in his net.

Context

7Kinywa chake kimejaa laana, uongo na vitisho; shida na ubaya viko chini ya ulimi wake. 8Huvizia karibu na vijiji; kutoka mafichoni huwanasa wasio na hatia, akivizia wapitaji. 9Huvizia kama simba aliye mawindoni; huvizia kumkamata mnyonge, huwakamata wanyonge na kuwaburuza katika wavu wake. 10Mateka wake hupondwa, huzimia; wanaanguka katika nguvu zake. 11Anajisemea mwenyewe, “Mungu amesahau, huficha uso wake na haoni kabisa.”

Swahili text and audio: Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version™, made available under an open license by Biblica, Inc.