Zaburi 10:11
Psalms 10:11 · Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version 2015
Anajisemea mwenyewe, “Mungu amesahau, huficha uso wake na haoni kabisa.”
Psalms 10:11 in English
Psalms 10:11 · Berean Standard Bible
He says to himself, “God has forgotten; He hides His face and never sees.”
Context
9Huvizia kama simba aliye mawindoni;
huvizia kumkamata mnyonge,
huwakamata wanyonge na kuwaburuza
katika wavu wake. 10Mateka wake hupondwa, huzimia;
wanaanguka katika nguvu zake. 11Anajisemea mwenyewe, “Mungu amesahau,
huficha uso wake na haoni kabisa.” 12Inuka Bwana! Inua mkono wako, Ee Mungu.
Usiwasahau wanyonge. 13Kwa nini mtu mwovu anamtukana Mungu?
Kwa nini anajiambia mwenyewe,
“Hataniita nitoe hesabu?”
Swahili text and audio: Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version™, made available under an open license by Biblica, Inc.