Native Bible

Psalms 10:8 · Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version 2015

Huvizia karibu na vijiji; kutoka mafichoni huwanasa wasio na hatia, akivizia wapitaji.

Psalms 10:8 in English

Psalms 10:8 · Berean Standard Bible

He lies in wait near the villages; in ambush he slays the innocent; his eyes watch in stealth for the helpless.

Context

6Anajisemea mwenyewe, “Hakuna kitakachonitikisa, daima nitakuwa na furaha, kamwe sitakuwa na shida.” 7Kinywa chake kimejaa laana, uongo na vitisho; shida na ubaya viko chini ya ulimi wake. 8Huvizia karibu na vijiji; kutoka mafichoni huwanasa wasio na hatia, akivizia wapitaji. 9Huvizia kama simba aliye mawindoni; huvizia kumkamata mnyonge, huwakamata wanyonge na kuwaburuza katika wavu wake. 10Mateka wake hupondwa, huzimia; wanaanguka katika nguvu zake.

Swahili text and audio: Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version™, made available under an open license by Biblica, Inc.