Zaburi 10:6
Psalms 10:6 · Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version 2015
Anajisemea mwenyewe, “Hakuna kitakachonitikisa, daima nitakuwa na furaha, kamwe sitakuwa na shida.”
Psalms 10:6 in English
Psalms 10:6 · Berean Standard Bible
He says to himself, “I will not be moved; from age to age I am free of distress.”
Context
4Katika kiburi chake, mwovu hamtafuti Mungu,
katika mawazo yake yote
hakuna nafasi ya Mungu. 5Njia zake daima hufanikiwa;
hujivuna na amri zako ziko mbali naye,
huwacheka kwa dharau adui zake wote. 6Anajisemea mwenyewe, “Hakuna kitakachonitikisa,
daima nitakuwa na furaha,
kamwe sitakuwa na shida.” 7Kinywa chake kimejaa laana, uongo na vitisho;
shida na ubaya viko chini ya ulimi wake. 8Huvizia karibu na vijiji;
kutoka mafichoni huwanasa wasio na hatia,
akivizia wapitaji.
Swahili text and audio: Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version™, made available under an open license by Biblica, Inc.