Native Bible

Psalms 10:5 · Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version 2015

Njia zake daima hufanikiwa; hujivuna na amri zako ziko mbali naye, huwacheka kwa dharau adui zake wote.

Psalms 10:5 in English

Psalms 10:5 · Berean Standard Bible

He is secure in his ways at all times; Your lofty judgments are far from him; he sneers at all his foes.

Context

3Hujivunia tamaa za moyo wake; humbariki mlafi na kumtukana Bwana. 4Katika kiburi chake, mwovu hamtafuti Mungu, katika mawazo yake yote hakuna nafasi ya Mungu. 5Njia zake daima hufanikiwa; hujivuna na amri zako ziko mbali naye, huwacheka kwa dharau adui zake wote. 6Anajisemea mwenyewe, “Hakuna kitakachonitikisa, daima nitakuwa na furaha, kamwe sitakuwa na shida.” 7Kinywa chake kimejaa laana, uongo na vitisho; shida na ubaya viko chini ya ulimi wake.

Swahili text and audio: Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version™, made available under an open license by Biblica, Inc.