Mithali 9:7
Proverbs 9:7 · Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version 2015
“Yeyote anayemkosoa mwenye mzaha hukaribisha matukano; yeyote anayekemea mtu mwovu hupatwa na matusi.
Proverbs 9:7 in English
Proverbs 9:7 · Berean Standard Bible
He who corrects a mocker brings shame on himself; he who rebukes a wicked man taints himself.
Context
5Njooni, mle chakula changu
na mnywe divai niliyoichanganya. 6Acheni njia zenu za ujinga nanyi mtaishi;
tembeeni katika njia ya ufahamu. 7“Yeyote anayemkosoa mwenye mzaha
hukaribisha matukano;
yeyote anayekemea mtu mwovu
hupatwa na matusi. 8Usimkemee mwenye mzaha la sivyo atakuchukia;
mkemee mwenye hekima naye atakupenda. 9Mfundishe mtu mwenye hekima
naye atakuwa na hekima zaidi;
mfundishe mtu mwadilifu
naye atazidi kufundishika.
Swahili text and audio: Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version™, made available under an open license by Biblica, Inc.