Native Bible

Proverbs 9:6 · Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version 2015

Acheni njia zenu za ujinga nanyi mtaishi; tembeeni katika njia ya ufahamu.

Proverbs 9:6 in English

Proverbs 9:6 · Berean Standard Bible

Leave your folly behind, and you will live; walk in the way of understanding.”

Context

4Anawaambia wale wasio na akili, “Wote ambao ni wajinga na waje hapa! 5Njooni, mle chakula changu na mnywe divai niliyoichanganya. 6Acheni njia zenu za ujinga nanyi mtaishi; tembeeni katika njia ya ufahamu. 7“Yeyote anayemkosoa mwenye mzaha hukaribisha matukano; yeyote anayekemea mtu mwovu hupatwa na matusi. 8Usimkemee mwenye mzaha la sivyo atakuchukia; mkemee mwenye hekima naye atakupenda.

Swahili text and audio: Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version™, made available under an open license by Biblica, Inc.