Native Bible

Proverbs 9:4 · Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version 2015

Anawaambia wale wasio na akili, “Wote ambao ni wajinga na waje hapa!

Proverbs 9:4 in English

Proverbs 9:4 · Berean Standard Bible

“Whoever is simple, let him turn in here!” she says to him who lacks judgment.

Context

2Ameandaa nyama na kuchanganya divai yake; pia ameandaa meza yake. 3Amewatuma watumishi wake wa kike, naye huita kutoka mahali pa juu sana pa mji. 4Anawaambia wale wasio na akili, “Wote ambao ni wajinga na waje hapa! 5Njooni, mle chakula changu na mnywe divai niliyoichanganya. 6Acheni njia zenu za ujinga nanyi mtaishi; tembeeni katika njia ya ufahamu.

Swahili text and audio: Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version™, made available under an open license by Biblica, Inc.