Mithali 9:3
Proverbs 9:3 · Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version 2015
Amewatuma watumishi wake wa kike, naye huita kutoka mahali pa juu sana pa mji.
Proverbs 9:3 in English
Proverbs 9:3 · Berean Standard Bible
She has sent out her maidservants; she calls out from the heights of the city.
Context
1Hekima amejenga nyumba yake;
amechonga nguzo zake saba. 2Ameandaa nyama na kuchanganya divai yake;
pia ameandaa meza yake. 3Amewatuma watumishi wake wa kike, naye huita
kutoka mahali pa juu sana pa mji. 4Anawaambia wale wasio na akili,
“Wote ambao ni wajinga na waje hapa! 5Njooni, mle chakula changu
na mnywe divai niliyoichanganya.
Swahili text and audio: Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version™, made available under an open license by Biblica, Inc.