Native Bible

Proverbs 9:5 · Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version 2015

Njooni, mle chakula changu na mnywe divai niliyoichanganya.

Proverbs 9:5 in English

Proverbs 9:5 · Berean Standard Bible

“Come, eat my bread and drink the wine I have mixed.

Context

3Amewatuma watumishi wake wa kike, naye huita kutoka mahali pa juu sana pa mji. 4Anawaambia wale wasio na akili, “Wote ambao ni wajinga na waje hapa! 5Njooni, mle chakula changu na mnywe divai niliyoichanganya. 6Acheni njia zenu za ujinga nanyi mtaishi; tembeeni katika njia ya ufahamu. 7“Yeyote anayemkosoa mwenye mzaha hukaribisha matukano; yeyote anayekemea mtu mwovu hupatwa na matusi.

Swahili text and audio: Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version™, made available under an open license by Biblica, Inc.