Native Bible

Proverbs 9:8 · Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version 2015

Usimkemee mwenye mzaha la sivyo atakuchukia; mkemee mwenye hekima naye atakupenda.

Proverbs 9:8 in English

Proverbs 9:8 · Berean Standard Bible

Do not rebuke a mocker, or he will hate you; rebuke a wise man, and he will love you.

Context

6Acheni njia zenu za ujinga nanyi mtaishi; tembeeni katika njia ya ufahamu. 7“Yeyote anayemkosoa mwenye mzaha hukaribisha matukano; yeyote anayekemea mtu mwovu hupatwa na matusi. 8Usimkemee mwenye mzaha la sivyo atakuchukia; mkemee mwenye hekima naye atakupenda. 9Mfundishe mtu mwenye hekima naye atakuwa na hekima zaidi; mfundishe mtu mwadilifu naye atazidi kufundishika. 10“Kumcha Bwana ndicho chanzo cha hekima, na kumjua Aliye Mtakatifu ni ufahamu.

Swahili text and audio: Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version™, made available under an open license by Biblica, Inc.