Native Bible

Proverbs 9:18 · Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version 2015

Lakini hawajui hata kidogo kuwa wafu wako humo, kwamba wageni wake huyo mwanamke wako katika vilindi vya kuzimu.

Proverbs 9:18 in English

Proverbs 9:18 · Berean Standard Bible

But they do not know that the dead * are there, that her guests are in the depths of Sheol.

Context

16Anawaambia wale wasio na akili, “Wote ambao ni wajinga na waje hapa ndani!” 17“Maji yaliyoibiwa ni matamu; chakula kinacholiwa sirini ni kitamu!” 18Lakini hawajui hata kidogo kuwa wafu wako humo, kwamba wageni wake huyo mwanamke wako katika vilindi vya kuzimu.

Swahili text and audio: Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version™, made available under an open license by Biblica, Inc.