Mithali 9:17
Proverbs 9:17 · Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version 2015
“Maji yaliyoibiwa ni matamu; chakula kinacholiwa sirini ni kitamu!”
Proverbs 9:17 in English
Proverbs 9:17 · Berean Standard Bible
“Stolen water is sweet, and bread eaten in secret is tasty!”
Context
15akiita wale wapitao karibu,
waendao moja kwa moja kwenye njia yao. 16Anawaambia wale wasio na akili,
“Wote ambao ni wajinga na waje hapa ndani!” 17“Maji yaliyoibiwa ni matamu;
chakula kinacholiwa sirini ni kitamu!” 18Lakini hawajui hata kidogo kuwa wafu wako humo,
kwamba wageni wake huyo mwanamke
wako katika vilindi vya kuzimu.
Swahili text and audio: Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version™, made available under an open license by Biblica, Inc.