Native Bible

Proverbs 9:16 · Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version 2015

Anawaambia wale wasio na akili, “Wote ambao ni wajinga na waje hapa ndani!”

Proverbs 9:16 in English

Proverbs 9:16 · Berean Standard Bible

“Whoever is simple, let him turn in here!” she says to him who lacks judgment.

Context

14Huketi kwenye mlango wa nyumba yake, juu ya kiti katika mahali pa juu sana pa mji, 15akiita wale wapitao karibu, waendao moja kwa moja kwenye njia yao. 16Anawaambia wale wasio na akili, “Wote ambao ni wajinga na waje hapa ndani!” 17“Maji yaliyoibiwa ni matamu; chakula kinacholiwa sirini ni kitamu!” 18Lakini hawajui hata kidogo kuwa wafu wako humo, kwamba wageni wake huyo mwanamke wako katika vilindi vya kuzimu.

Swahili text and audio: Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version™, made available under an open license by Biblica, Inc.