Mithali 9:15
Proverbs 9:15 · Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version 2015
akiita wale wapitao karibu, waendao moja kwa moja kwenye njia yao.
Proverbs 9:15 in English
Proverbs 9:15 · Berean Standard Bible
calling out to those who pass by, who make their paths straight.
Context
13Mwanamke aitwaye Mpumbavu ana kelele;
hana adabu na hana maarifa. 14Huketi kwenye mlango wa nyumba yake,
juu ya kiti katika mahali pa juu sana pa mji, 15akiita wale wapitao karibu,
waendao moja kwa moja kwenye njia yao. 16Anawaambia wale wasio na akili,
“Wote ambao ni wajinga na waje hapa ndani!” 17“Maji yaliyoibiwa ni matamu;
chakula kinacholiwa sirini ni kitamu!”
Swahili text and audio: Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version™, made available under an open license by Biblica, Inc.