Mithali 7:24
Proverbs 7:24 · Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version 2015
Sasa basi wanangu, nisikilizeni; sikilizeni kwa makini nisemalo.
Proverbs 7:24 in English
Proverbs 7:24 · Berean Standard Bible
Now, my sons, listen to me, and attend to the words of my mouth.
Context
22Mara huyo kijana alimfuata yule mwanamke
kama fahali aendaye machinjoni,
kama kulungu aingiaye kwenye kitanzi, 23mpaka mshale umchome ini lake,
kama ndege anayenaswa kwenye mtego,
bila kujua itamgharimu maisha yake. 24Sasa basi wanangu, nisikilizeni;
sikilizeni kwa makini nisemalo. 25Usiruhusu moyo wako ugeukie njia za huyo mwanamke,
wala usitangetange katika mapito yake. 26Aliowaangusha ni wengi;
aliowachinja ni kundi kubwa.
Swahili text and audio: Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version™, made available under an open license by Biblica, Inc.