Native Bible

Proverbs 7:26 · Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version 2015

Aliowaangusha ni wengi; aliowachinja ni kundi kubwa.

Proverbs 7:26 in English

Proverbs 7:26 · Berean Standard Bible

For she has brought many down to death; her slain are many in number.

Context

24Sasa basi wanangu, nisikilizeni; sikilizeni kwa makini nisemalo. 25Usiruhusu moyo wako ugeukie njia za huyo mwanamke, wala usitangetange katika mapito yake. 26Aliowaangusha ni wengi; aliowachinja ni kundi kubwa. 27Nyumba yake ni njia kuu iendayo kaburini,* ielekeayo chini kwenye vyumba vya mauti.

Swahili text and audio: Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version™, made available under an open license by Biblica, Inc.