Native Bible

Proverbs 7:25 · Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version 2015

Usiruhusu moyo wako ugeukie njia za huyo mwanamke, wala usitangetange katika mapito yake.

Proverbs 7:25 in English

Proverbs 7:25 · Berean Standard Bible

Do not let your heart turn aside to her ways; do not stray into her paths.

Context

23mpaka mshale umchome ini lake, kama ndege anayenaswa kwenye mtego, bila kujua itamgharimu maisha yake. 24Sasa basi wanangu, nisikilizeni; sikilizeni kwa makini nisemalo. 25Usiruhusu moyo wako ugeukie njia za huyo mwanamke, wala usitangetange katika mapito yake. 26Aliowaangusha ni wengi; aliowachinja ni kundi kubwa. 27Nyumba yake ni njia kuu iendayo kaburini,* ielekeayo chini kwenye vyumba vya mauti.

Swahili text and audio: Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version™, made available under an open license by Biblica, Inc.