Mithali 6:7
Proverbs 6:7 · Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version 2015
Kwa maana yeye hana msimamizi, wala mwangalizi, au mtawala,
Proverbs 6:7 in English
Proverbs 6:7 · Berean Standard Bible
Without a commander, without an overseer or ruler,
Context
5Jiweke huru, kama swala mkononi mwa mwindaji,
kama ndege kutoka kwenye mtego wa mwindaji. 6Ewe mvivu, mwendee mchwa;
zitafakari njia zake ukapate hekima! 7Kwa maana yeye hana msimamizi,
wala mwangalizi, au mtawala, 8lakini hujiwekea akiba wakati wa kiangazi
na hukusanya chakula chake wakati wa mavuno. 9Ewe mvivu, utalala hata lini?
Utaamka lini kutoka usingizi wako?
Swahili text and audio: Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version™, made available under an open license by Biblica, Inc.