Mithali 6:9
Proverbs 6:9 · Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version 2015
Ewe mvivu, utalala hata lini? Utaamka lini kutoka usingizi wako?
Proverbs 6:9 in English
Proverbs 6:9 · Berean Standard Bible
How long will you lie there, O slacker? When will you get up from your sleep?
Context
7Kwa maana yeye hana msimamizi,
wala mwangalizi, au mtawala, 8lakini hujiwekea akiba wakati wa kiangazi
na hukusanya chakula chake wakati wa mavuno. 9Ewe mvivu, utalala hata lini?
Utaamka lini kutoka usingizi wako? 10Bado kulala kidogo, kusinzia kidogo,
bado kukunja mikono kidogo upate kupumzika: 11hivyo umaskini utakuja juu yako kama mnyangʼanyi,
na kupungukiwa kutakujia kama mtu mwenye silaha.
Swahili text and audio: Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version™, made available under an open license by Biblica, Inc.