Native Bible

Proverbs 6:8 · Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version 2015

lakini hujiwekea akiba wakati wa kiangazi na hukusanya chakula chake wakati wa mavuno.

Proverbs 6:8 in English

Proverbs 6:8 · Berean Standard Bible

it prepares its provisions in summer; it gathers its food at harvest.

Context

6Ewe mvivu, mwendee mchwa; zitafakari njia zake ukapate hekima! 7Kwa maana yeye hana msimamizi, wala mwangalizi, au mtawala, 8lakini hujiwekea akiba wakati wa kiangazi na hukusanya chakula chake wakati wa mavuno. 9Ewe mvivu, utalala hata lini? Utaamka lini kutoka usingizi wako? 10Bado kulala kidogo, kusinzia kidogo, bado kukunja mikono kidogo upate kupumzika:

Swahili text and audio: Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version™, made available under an open license by Biblica, Inc.