Native Bible

Proverbs 31:26 · Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version 2015

Huzungumza kwa hekima na mafundisho ya kuaminika yapo ulimini mwake.

Proverbs 31:26 in English

Proverbs 31:26 · Berean Standard Bible

She opens her mouth with wisdom, and faithful instruction is on her tongue.

Context

24Hutengeneza mavazi ya kitani na kuyauza, naye huwauzia wafanyabiashara mishipi. 25Amevikwa nguvu na heshima, anaweza kucheka bila kuwa na hofu kwa siku zijazo. 26Huzungumza kwa hekima na mafundisho ya kuaminika yapo ulimini mwake. 27Huangalia mambo ya nyumbani mwake wala hali chakula cha uvivu. 28Watoto wake huamka na kumwita aliyebarikiwa, mumewe pia humsifu, akisema:

Swahili text and audio: Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version™, made available under an open license by Biblica, Inc.