Mithali 31:28
Proverbs 31:28 · Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version 2015
Watoto wake huamka na kumwita aliyebarikiwa, mumewe pia humsifu, akisema:
Proverbs 31:28 in English
Proverbs 31:28 · Berean Standard Bible
Her children rise up and call her blessed; her husband praises her as well:
Context
26Huzungumza kwa hekima
na mafundisho ya kuaminika yapo ulimini mwake. 27Huangalia mambo ya nyumbani mwake
wala hali chakula cha uvivu. 28Watoto wake huamka na kumwita aliyebarikiwa,
mumewe pia humsifu, akisema: 29“Wanawake wengi hufanya vitu vyenye sifa nzuri,
lakini wewe umewapita wote.” 30Kujipamba ili kuvutia ni udanganyifu na uzuri unapita upesi,
bali mwanamke anayemcha Bwana atasifiwa.
Swahili text and audio: Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version™, made available under an open license by Biblica, Inc.