Native Bible

Proverbs 31:27 · Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version 2015

Huangalia mambo ya nyumbani mwake wala hali chakula cha uvivu.

Proverbs 31:27 in English

Proverbs 31:27 · Berean Standard Bible

She watches over the affairs of her household and does not eat the bread of idleness.

Context

25Amevikwa nguvu na heshima, anaweza kucheka bila kuwa na hofu kwa siku zijazo. 26Huzungumza kwa hekima na mafundisho ya kuaminika yapo ulimini mwake. 27Huangalia mambo ya nyumbani mwake wala hali chakula cha uvivu. 28Watoto wake huamka na kumwita aliyebarikiwa, mumewe pia humsifu, akisema: 29“Wanawake wengi hufanya vitu vyenye sifa nzuri, lakini wewe umewapita wote.”

Swahili text and audio: Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version™, made available under an open license by Biblica, Inc.