Mithali 31:24
Proverbs 31:24 · Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version 2015
Hutengeneza mavazi ya kitani na kuyauza, naye huwauzia wafanyabiashara mishipi.
Proverbs 31:24 in English
Proverbs 31:24 · Berean Standard Bible
She makes linen garments and sells them; she delivers sashes to the merchants.
Context
22Hutengeneza mazulia ya urembo ya kufunika kitanda chake,
yeye huvaa kitani safi na urujuani. 23Mume wake anaheshimiwa kwenye lango la mji,
aketipo miongoni mwa wazee wa nchi. 24Hutengeneza mavazi ya kitani na kuyauza,
naye huwauzia wafanyabiashara mishipi. 25Amevikwa nguvu na heshima,
anaweza kucheka bila kuwa na hofu kwa siku zijazo. 26Huzungumza kwa hekima
na mafundisho ya kuaminika yapo ulimini mwake.
Swahili text and audio: Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version™, made available under an open license by Biblica, Inc.