Native Bible

Proverbs 31:23 · Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version 2015

Mume wake anaheshimiwa kwenye lango la mji, aketipo miongoni mwa wazee wa nchi.

Proverbs 31:23 in English

Proverbs 31:23 · Berean Standard Bible

Her husband is known at the city gate, where he sits among the elders of the land.

Context

21Theluji ishukapo, hana hofu kwa ajili ya watu wa nyumbani mwake, kwa maana wote wamevikwa nguo za kutia joto. 22Hutengeneza mazulia ya urembo ya kufunika kitanda chake, yeye huvaa kitani safi na urujuani. 23Mume wake anaheshimiwa kwenye lango la mji, aketipo miongoni mwa wazee wa nchi. 24Hutengeneza mavazi ya kitani na kuyauza, naye huwauzia wafanyabiashara mishipi. 25Amevikwa nguvu na heshima, anaweza kucheka bila kuwa na hofu kwa siku zijazo.

Swahili text and audio: Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version™, made available under an open license by Biblica, Inc.