Native Bible

Proverbs 30:10 · Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version 2015

“Usimchongee mtumishi kwa bwana wake, asije akakulaani, ukapatilizwa kwalo.

Proverbs 30:10 in English

Proverbs 30:10 · Berean Standard Bible

Do not slander a servant to his master, or he will curse you, and you will bear the guilt.

Context

8Uutenge mbali nami udanganyifu na uongo; usinipe umaskini wala utajiri, bali unipe chakula cha kunitosha kila siku. 9Nisije nikawa na vingi vya kuzidi nikakukana na kusema, ‘Bwana ni nani?’ Au nisije nikawa maskini nikaiba, nami nikaliaibisha jina la Mungu wangu. 10“Usimchongee mtumishi kwa bwana wake, asije akakulaani, ukapatilizwa kwalo. 11“Wako watu wale ambao huwalaani baba zao na wala hawawabariki mama zao; 12wale ambao ni safi machoni pao wenyewe kumbe hawakuoshwa uchafu wao;

Swahili text and audio: Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version™, made available under an open license by Biblica, Inc.