Mithali 30:11
Proverbs 30:11 · Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version 2015
“Wako watu wale ambao huwalaani baba zao na wala hawawabariki mama zao;
Proverbs 30:11 in English
Proverbs 30:11 · Berean Standard Bible
There is a generation of those who curse their fathers and do not bless their mothers.
Context
9Nisije nikawa na vingi vya kuzidi nikakukana
na kusema, ‘Bwana ni nani?’
Au nisije nikawa maskini nikaiba,
nami nikaliaibisha jina la Mungu wangu. 10“Usimchongee mtumishi kwa bwana wake,
asije akakulaani, ukapatilizwa kwalo. 11“Wako watu wale ambao huwalaani baba zao
na wala hawawabariki mama zao; 12wale ambao ni safi machoni pao wenyewe
kumbe hawakuoshwa uchafu wao; 13wale ambao daima macho yao ni ya kiburi,
ambao kutazama kwao ni kwa dharau;
Swahili text and audio: Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version™, made available under an open license by Biblica, Inc.