Native Bible

Proverbs 30:13 · Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version 2015

wale ambao daima macho yao ni ya kiburi, ambao kutazama kwao ni kwa dharau;

Proverbs 30:13 in English

Proverbs 30:13 · Berean Standard Bible

There is a generation—how haughty are their eyes and pretentious are their glances—

Context

11“Wako watu wale ambao huwalaani baba zao na wala hawawabariki mama zao; 12wale ambao ni safi machoni pao wenyewe kumbe hawakuoshwa uchafu wao; 13wale ambao daima macho yao ni ya kiburi, ambao kutazama kwao ni kwa dharau; 14wale ambao meno yao ni panga na ambao mataya yao yamewekwa visu kuwaangamiza maskini katika nchi, na wahitaji kutoka miongoni mwa wanadamu. 15“Mruba anao binti wawili waliao, ‘Nipe! Nipe!’ “Kuna vitu vitatu visivyotosheka kamwe, naam, viko vinne visivyosema, ‘Yatosha!’:

Swahili text and audio: Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version™, made available under an open license by Biblica, Inc.