Mithali 29:4
Proverbs 29:4 · Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version 2015
Kwa haki mfalme huipa nchi uthabiti, bali mfalme aliye na tamaa ya rushwa huiangamiza.
Proverbs 29:4 in English
Proverbs 29:4 · Berean Standard Bible
By justice a king brings stability to the land, but a man who exacts tribute * demolishes it.
Context
2Wenye haki wanapostawi, watu hufurahi;
waovu watawalapo, watu hulia kwa huzuni. 3Mtu apendaye hekima huleta furaha kwa baba yake,
bali aambatanaye na makahaba hutapanya mali yake. 4Kwa haki mfalme huipa nchi uthabiti,
bali mfalme aliye na tamaa ya rushwa huiangamiza. 5Yeyote amsifuye jirani yake isivyostahili,
anautandaza wavu kuitega miguu yake. 6Mtu mbaya hutegwa na dhambi yake mwenyewe
bali mwenye haki huweza kuimba na kufurahi.
Swahili text and audio: Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version™, made available under an open license by Biblica, Inc.