Native Bible

Proverbs 29:2 · Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version 2015

Wenye haki wanapostawi, watu hufurahi; waovu watawalapo, watu hulia kwa huzuni.

Proverbs 29:2 in English

Proverbs 29:2 · Berean Standard Bible

When the righteous flourish, the people rejoice, but when the wicked rule, the people groan.

Context

1Mtu anayeendelea kuwa na shingo ngumu baada ya maonyo mengi, ataangamia ghafula, wala hapati dawa. 2Wenye haki wanapostawi, watu hufurahi; waovu watawalapo, watu hulia kwa huzuni. 3Mtu apendaye hekima huleta furaha kwa baba yake, bali aambatanaye na makahaba hutapanya mali yake. 4Kwa haki mfalme huipa nchi uthabiti, bali mfalme aliye na tamaa ya rushwa huiangamiza.

Swahili text and audio: Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version™, made available under an open license by Biblica, Inc.