Native Bible

Proverbs 29:1 · Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version 2015

Mtu anayeendelea kuwa na shingo ngumu baada ya maonyo mengi, ataangamia ghafula, wala hapati dawa.

Proverbs 29:1 in English

Proverbs 29:1 · Berean Standard Bible

A man who remains stiff-necked after much reproof will suddenly be shattered beyond recovery.

Context

1Mtu anayeendelea kuwa na shingo ngumu baada ya maonyo mengi, ataangamia ghafula, wala hapati dawa. 2Wenye haki wanapostawi, watu hufurahi; waovu watawalapo, watu hulia kwa huzuni. 3Mtu apendaye hekima huleta furaha kwa baba yake, bali aambatanaye na makahaba hutapanya mali yake.

Swahili text and audio: Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version™, made available under an open license by Biblica, Inc.