Native Bible

Proverbs 29:5 · Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version 2015

Yeyote amsifuye jirani yake isivyostahili, anautandaza wavu kuitega miguu yake.

Proverbs 29:5 in English

Proverbs 29:5 · Berean Standard Bible

A man who flatters his neighbor spreads a net for his feet.

Context

3Mtu apendaye hekima huleta furaha kwa baba yake, bali aambatanaye na makahaba hutapanya mali yake. 4Kwa haki mfalme huipa nchi uthabiti, bali mfalme aliye na tamaa ya rushwa huiangamiza. 5Yeyote amsifuye jirani yake isivyostahili, anautandaza wavu kuitega miguu yake. 6Mtu mbaya hutegwa na dhambi yake mwenyewe bali mwenye haki huweza kuimba na kufurahi. 7Mwenye haki hujali haki kwa ajili ya maskini, bali mwovu hajishughulishi na hilo.

Swahili text and audio: Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version™, made available under an open license by Biblica, Inc.