Mithali 28:7
Proverbs 28:7 · Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version 2015
Yeye ashikaye sheria ni mwana mwenye ufahamu, bali rafiki wa walafi humwaibisha baba yake.
Proverbs 28:7 in English
Proverbs 28:7 · Berean Standard Bible
A discerning son keeps the law, but a companion of gluttons disgraces his father.
Context
5Watu wabaya hawaelewi haki,
bali wale wamtafutao Bwana wanaielewa kikamilifu. 6Afadhali maskini ambaye mwenendo wake hauna lawama
kuliko tajiri ambaye njia zake ni potovu. 7Yeye ashikaye sheria ni mwana mwenye ufahamu,
bali rafiki wa walafi humwaibisha baba yake. 8Yeye aongezaye utajiri wake kwa riba kubwa mno
hukusanya kwa ajili ya mwingine,
ambaye atawahurumia maskini. 9Kama mtu yeyote akikataa kusikia sheria,
hata maombi yake ni chukizo.
Swahili text and audio: Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version™, made available under an open license by Biblica, Inc.