Mithali 28:5
Proverbs 28:5 · Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version 2015
Watu wabaya hawaelewi haki, bali wale wamtafutao Bwana wanaielewa kikamilifu.
Proverbs 28:5 in English
Proverbs 28:5 · Berean Standard Bible
Evil men do not understand justice, but those who seek the LORD comprehend fully.
Context
3Mtu maskini amwoneaye yeye aliye maskini zaidi
ni kama mvua ya dhoruba isiyosaza mazao. 4Wale waiachao sheria huwasifu waovu,
bali wale waishikao sheria huwapinga. 5Watu wabaya hawaelewi haki,
bali wale wamtafutao Bwana wanaielewa kikamilifu. 6Afadhali maskini ambaye mwenendo wake hauna lawama
kuliko tajiri ambaye njia zake ni potovu. 7Yeye ashikaye sheria ni mwana mwenye ufahamu,
bali rafiki wa walafi humwaibisha baba yake.
Swahili text and audio: Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version™, made available under an open license by Biblica, Inc.