Native Bible

Proverbs 28:4 · Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version 2015

Wale waiachao sheria huwasifu waovu, bali wale waishikao sheria huwapinga.

Proverbs 28:4 in English

Proverbs 28:4 · Berean Standard Bible

Those who forsake the law praise the wicked, but those who keep the law resist them.

Context

2Wakati nchi inapokuwa na uasi, inakuwa na viongozi wengi, bali mwenye ufahamu na maarifa hudumisha utaratibu. 3Mtu maskini amwoneaye yeye aliye maskini zaidi ni kama mvua ya dhoruba isiyosaza mazao. 4Wale waiachao sheria huwasifu waovu, bali wale waishikao sheria huwapinga. 5Watu wabaya hawaelewi haki, bali wale wamtafutao Bwana wanaielewa kikamilifu. 6Afadhali maskini ambaye mwenendo wake hauna lawama kuliko tajiri ambaye njia zake ni potovu.

Swahili text and audio: Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version™, made available under an open license by Biblica, Inc.