Mithali 28:2
Proverbs 28:2 · Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version 2015
Wakati nchi inapokuwa na uasi, inakuwa na viongozi wengi, bali mwenye ufahamu na maarifa hudumisha utaratibu.
Proverbs 28:2 in English
Proverbs 28:2 · Berean Standard Bible
A land in rebellion has many rulers, but a man of understanding and knowledge maintains order.
Context
1Mtu mwovu hukimbia ingawa hakuna yeyote anayemfukuza,
bali wenye haki ni wajasiri kama simba. 2Wakati nchi inapokuwa na uasi, inakuwa na viongozi wengi,
bali mwenye ufahamu na maarifa hudumisha utaratibu. 3Mtu maskini amwoneaye yeye aliye maskini zaidi
ni kama mvua ya dhoruba isiyosaza mazao. 4Wale waiachao sheria huwasifu waovu,
bali wale waishikao sheria huwapinga.
Swahili text and audio: Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version™, made available under an open license by Biblica, Inc.