Native Bible

Proverbs 28:6 · Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version 2015

Afadhali maskini ambaye mwenendo wake hauna lawama kuliko tajiri ambaye njia zake ni potovu.

Proverbs 28:6 in English

Proverbs 28:6 · Berean Standard Bible

Better a poor man who walks with integrity than a rich man whose ways are perverse.

Context

4Wale waiachao sheria huwasifu waovu, bali wale waishikao sheria huwapinga. 5Watu wabaya hawaelewi haki, bali wale wamtafutao Bwana wanaielewa kikamilifu. 6Afadhali maskini ambaye mwenendo wake hauna lawama kuliko tajiri ambaye njia zake ni potovu. 7Yeye ashikaye sheria ni mwana mwenye ufahamu, bali rafiki wa walafi humwaibisha baba yake. 8Yeye aongezaye utajiri wake kwa riba kubwa mno hukusanya kwa ajili ya mwingine, ambaye atawahurumia maskini.

Swahili text and audio: Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version™, made available under an open license by Biblica, Inc.