Native Bible

Proverbs 23:6 · Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version 2015

Usile chakula cha mtu mchoyo, usitamani vyakula vyake vitamu,

Proverbs 23:6 in English

Proverbs 23:6 · Berean Standard Bible

Do not eat the bread of a stingy man,* and do not crave his delicacies;

Context

4Usijitaabishe ili kuupata utajiri, uwe na hekima kuonyesha kujizuia. 5Kufumba na kufumbua utajiri hutoweka, huwa kama umepata mabawa ghafula, ukaruka na kutoweka angani kama tai. 6Usile chakula cha mtu mchoyo, usitamani vyakula vyake vitamu, 7kwa maana yeye ni aina ya mtu ambaye kila mara anafikiri juu ya gharama. Anakuambia, “Kula na kunywa,” lakini moyo wake hauko pamoja nawe. 8Utatapika kile kidogo ulichokula, nawe utakuwa umepoteza bure maneno yako ya kumsifu.

Swahili text and audio: Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version™, made available under an open license by Biblica, Inc.