Mithali 23:5
Proverbs 23:5 · Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version 2015
Kufumba na kufumbua utajiri hutoweka, huwa kama umepata mabawa ghafula, ukaruka na kutoweka angani kama tai.
Proverbs 23:5 in English
Proverbs 23:5 · Berean Standard Bible
When you glance at wealth, it disappears, for it makes wings for itself and flies like an eagle to the sky.
Context
3Usitamani vyakula vyake vitamu
kwa kuwa chakula hicho ni cha hila. 4Usijitaabishe ili kuupata utajiri,
uwe na hekima kuonyesha kujizuia. 5Kufumba na kufumbua utajiri hutoweka,
huwa kama umepata mabawa ghafula,
ukaruka na kutoweka angani kama tai. 6Usile chakula cha mtu mchoyo,
usitamani vyakula vyake vitamu, 7kwa maana yeye ni aina ya mtu
ambaye kila mara anafikiri juu ya gharama.
Anakuambia, “Kula na kunywa,”
lakini moyo wake hauko pamoja nawe.
Swahili text and audio: Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version™, made available under an open license by Biblica, Inc.