Native Bible

Proverbs 23:3 · Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version 2015

Usitamani vyakula vyake vitamu kwa kuwa chakula hicho ni cha hila.

Proverbs 23:3 in English

Proverbs 23:3 · Berean Standard Bible

Do not crave his delicacies, for that food is deceptive.

Context

1Uketipo kula chakula na mtawala, angalia vyema kile kilicho mbele yako, 2na utie kisu kooni mwako kama ukiwa mlafi. 3Usitamani vyakula vyake vitamu kwa kuwa chakula hicho ni cha hila. 4Usijitaabishe ili kuupata utajiri, uwe na hekima kuonyesha kujizuia. 5Kufumba na kufumbua utajiri hutoweka, huwa kama umepata mabawa ghafula, ukaruka na kutoweka angani kama tai.

Swahili text and audio: Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version™, made available under an open license by Biblica, Inc.